Katibu
wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai akiongoza mafunzo ya Mfumo wa Bunge Mtandao (E-Parliament
Portal) yaliyotolewa na Ofisi ya Bunge kwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali hii
leo Jijini Dodoma.
|
Afisa
Tehama wa Bunge Ndg. Said Mawenje akitoa mafunzo ya Mfumo wa Bunge Mtandao
(E-Parliament Portal) kwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali hii leo Jijini
Dodoma.
|