WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, October 30, 2019

OFISI YA BUNGE YATOA MAFUNZO YA MFUMO WA BUNGE MTANDAO (E-PARLIAMENT PORTAL) KWA MAKATIBU WAKUU

Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai akiongoza mafunzo ya Mfumo wa Bunge Mtandao (E-Parliament Portal) yaliyotolewa na Ofisi ya Bunge kwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali hii leo Jijini Dodoma. 

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano Dr. Jim Jonas akichangia jambo kwenye mafunzo ya Mfumo wa Bunge Mtandao (E-Parliament Portal) yaliyotolewa na Ofisi ya Bunge kwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali hii leo Jijini Dodoma. 

Afisa Tehama wa Bunge Ndg. Said Mawenje akitoa mafunzo ya Mfumo wa Bunge Mtandao (E-Parliament Portal) kwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali hii leo Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment