Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Katiba na Sheria Mheshimiwa Najma Giga akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa
Kamati hiyo walipokutana na kupokea Taarifa kuhusu Muundo na Majukumu ya Baraza
la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi
(NEEC) iliyowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge,
Kazi, Ajira na Wanye ulemavu) Mheshimiwa Jenista Mhagama Jijini Dodoma hii leo.
|
No comments:
Post a Comment