KAMATI YA MASUALA YA UKIMWI YAPOKEA TAARIFA UDHIBITI WA KIFUA KIKUU NCHINI
Mwenyekiti
wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi, Mheshimiwa Oscar Mukasa akifafanua
jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati hiyo walipokutana na Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Jijini Dodomahii leo.
Wajumbe
wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi wakifuatilia Taarifa ya majukumu
ya Mpango wa Taifa wa kudhibiti Kifua kikuu na Ukoma kwa mwaka 2018/2019 iliyowasilishwa
na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Bakari Kambi Jijini Dodomahi leo.
Mganga
Mkuu wa Serikali Prof. Bakari Kambi akiwasilisha Taarifa ya majukumu ya Mpango wa
Taifa wa kudhibiti Kifua kikuu na Ukoma kwa mwaka 2018/2019 kwenye Kamati ya kudumu
ya Bunge ya masuala ya Ukimwi Jijini Dodomahii leo.
No comments:
Post a Comment