WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Sunday, October 6, 2019

NAIBU SPIKA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TAIFA WA SHIRIKA LA MSALABA MWEKUNDU TANZANIA

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Rais wa Shirika la Msalaba Mwekundu (TRCS), Ndugu David Kihevile wakati alipowasili kwa ajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Taifa wa Shirika hilo uliofanyika katika Ukumbi wa African Dream wa Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Shirika la Msalaba Mwekundu (TRCS),  wakati alipowasili kwa ajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Taifa wa Shirika hilo uliofanyika katika Ukumbi wa African Dream wa Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akifungua Mkutano Mkuu wa Taifa wa Shirika la Msalaba Mwekundu (TRCS) uliofanyika katika Ukumbi wa African Dream wa Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akifungua Mkutano Mkuu wa Taifa wa Shirika la Msalaba Mwekundu (TRCS) uliofanyika katika Ukumbi wa African Dream wa Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akikabidhiwa nyaraka mbalimbali za Shirika la Msalaba Mwekundu (TRCS) mara baada ya kutangazwa kuwa Mwanachama wa Maisha wa Shirika hilo. Anayemkabidhi ni Katibu Mkuu wa Shirika hilo Ndugu Julius Kejo pamoja nao ni Mjumbe wa Jinsia Ndugu Nuru Liyau. Naibu Spika alipewa uanachama huo baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Taifa wa Shirika hilo uliofanyika katika Ukumbi wa African Dream wa Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment