Mratibu wa Mradi wa Kulijengea
Bunge Uwezo (LSP II), Mary Laswai akitoa mada kuhusu utekelezaji wa Mradi huo kwa mwaka 2019
katika Kikao cha Tathimini ya utekelezaji wa Mpango kazi wa mradi kwa Mwaka
2019. Pembeni yake ni Mshauri Mkuu wa Mradi, Ndugu Takawira Musavengana. Kikao
hicho kimefanyika leo Mjini Bagamoyo.Kikao hicho pia kitapitia Rasimu ya Mpango
Kazi wa Mradi wa mwaka 2020.
|