Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mheshimiwa Isack Kamwelwe akisisitiza jambo katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Miundombinu ambapo Wizara yake imewasilisha Taarifa ya utekeleaji ya bajeti ya sekta ya uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2020/2021. Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment