NAIBU SPIKA AKABIDHIWA TUZO NA BARAZA LA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI NCHINI (NACOPHA)
Naibu
Spika Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson akipokea tuzo maalum ya kuthamini mchango
wake katika kupambana na Ukimwi na Kifua kikuu nchini iliyotolewa na Baraza la
Watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi nchini (NACOPHA) na kukabidhiwa kwake na Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Oscar Mukasa hii
leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Naibu
Spika Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi Mheshimiwa Oscar Mukasa
aliyemkabidhi tuzo maalum ya kuthamini mchango wake katika kupambana na Ukimwi
na Kifua kikuu nchini iliyotolewa na Baraza la Watu wanaoishi na Virusi vya
Ukimwi nchini (NACOPHA) hii leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment