Mbunge Mteule wa Jimbo la Kogwa, Mhe. Job Ndugai pamoja na Wabunge wengine wakifanyiwa usajili katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 12 unaoanza kesho tarehe 10 Novemba, 2020
Zoezi la usajili wa Wabunge Wateule likiendelea katika katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 12 unaoanza tarehe 10 Novemba, 2020.
No comments:
Post a Comment