Maafisa Habari wa Bunge wakisikiliza kwa makini mada mbalimbali zilizowasilishwa na wawezeshaji katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. |
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Daniel Eliufoo (kushoto) afungua mafunzo kwa Maafisa wa Habari wa Bunge na Itifaki yatakayofanyika kwa siku nne katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam Dkt. RoseMarie Mwaipopo akiwasilisha mada ya masuala ya kijinsia kwa waandishi wa Habari wa Bunge katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment