SPIKA WA BUNGE MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WATU WENYE ULEMAVU
Maaskari wanawake walivalia sare za vitenge walijitokeza kuandamana ili kuadhimisha Kilele cha siku ya Kimataifa ya watu wenye ulemavu wilayani Kongwa Jijini Dodoma tarehe 3 Disemba 2020. Maadhimisho hayo yalikuwa na kauli mbiu "Si Kila Ulemavu Unaonekana" na yaliratibiwa na Chama cha SHIVYAWATA.
Waandamaji mbalimbali waliobeba mabango yenye ujumbe wa kuadhimisha Kilele cha siku ya Kimataifa ya watu wenye ulemavu wilayani Kongwa Jijini Dodoma tarehe 3 Disemba 2020. Maadhimisho hayo yalikuwa na kauli mbiu "Si Kila Ulemavu Unaonekana" na yaliratibiwa na Chama cha SHIVYAWATA.
Spika wa Bunge Mhe, Job Y. Ndugai akifurahia na wenyeji wake mara baada ya kuwasili katika
Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya watu wenye ulemavu wilayani Kongwa Jijini Dodoma tarehe 3 Disemba 2020. Maadhimisho hayo yalikuwa na kauli mbiu "Si Kila Ulemavu Unaonekana" na yaliratibiwa na Chama cha SHIVYAWATA.
No comments:
Post a Comment