Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Y. Ndugai (Mb) akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha wanafunzi wa vyuo vikuu nchini (TAHLISO) Ndg. Peter Niboye alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma.
Wawakilishi wa Marais wa vyuo mbalimbali nchini wakifirahi jambo na Mheshimiwa Spika(hayupo pichani) walipomtembelea katika ofisi yake Jijini Dodoma.
Wawakilishi wa Serikali ya wanafunzi nchini Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Akson walipotembelea ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment