WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Monday, February 15, 2021

WANAFUNZI WAFIKA BUNGENI KUJIFUNZA SHUGHULI ZA BUNGE

 

Afisa wa Bunge Ndg. Omary Machunda akifafanua jambo alipokuwa akitoa elimu kwa umma kwa Wanafunzi kutoka Chuo Mipango cha Jijini Dodoma walipotembelea Bunge kujifunza namna Mhimili huu unavyofanya kazi zake. 


Saturday, February 13, 2021

SPIKA WA BUNGE, MHE. JOB NDUGAI AKIWAONGOZA WAHESHIMIWA WABUNGE KUTOA KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA MUHAMBWE KATIKA VIWANJA VYA BUNGE JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwaongoza Waheshimiwa Wabunge kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma  kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma

Wapambe wa Bunge wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye kwa ajili ya Waheshimiwa Wabunge kutoa heshima zao za mwisho katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Waheshimiwa Wabunge wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Waheshimiwa Wabunge wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
 

Wednesday, February 3, 2021

SPIKA ATEMBELEWA NA SERIKALI YA WANAFUNZI WA VYUO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Y. Ndugai (Mb)  akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha wanafunzi wa vyuo vikuu nchini (TAHLISO)  Ndg. Peter Niboye alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma.

 

Wawakilishi wa Marais wa vyuo mbalimbali nchini wakifirahi jambo na Mheshimiwa Spika(hayupo pichani) walipomtembelea katika ofisi yake Jijini Dodoma.
Wawakilishi wa Serikali ya wanafunzi nchini Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Akson walipotembelea ofisi ya Bunge Jijini Dodoma.