Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwaongoza
Waheshimiwa Wabunge kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe
(CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini
Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya
mazishi.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati wa
shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM),
Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza wakati
wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe
(CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini
Dodoma kabla ya mwili wake kusafirishwa
kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia
Atashasta Nditiye katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kabla ya mwili wake
kusafirishwa kwenda Mkoani Kigoma kwa ajili ya mazishi.
Wapambe wa Bunge wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa
Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye kwa ajili ya Waheshimiwa
Wabunge kutoa heshima zao za mwisho katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Waheshimiwa Wabunge wakitoa heshima zao za mwisho kwa
mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye
katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Waheshimiwa Wabunge wakitoa heshima zao za mwisho kwa
mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye
katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Katibu
wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa
Mbunge wa Muhambwe (CCM), Marehemu Injinia Atashasta Nditiye katika viwanja vya
Bunge Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment