Aliyekuwa
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto) akabidhi Ofisi kwa Katibu Mpya
wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi tukio lililofanyika leo katika ofisi za Bunge
Jijini Dodoma.
Aliyekuwa Katibu wa Bunge, Bw. Stephen Kagaigai ambaye
aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Katibu Mpya wa Bunge, Bi.
Nenelwa Mwihambi walipotambulishwa Bungeni.
Aliyekuwa Katibu wa Bunge, Bw. Stephen Kagaigai ambaye
aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Katibu Mpya wa Bunge, Bi.
Nenelwa Mwihambi walipotambulishwa Bungeni.
Aliyekuwa Katibu wa Bunge, Bw. Stephen Kagaigai akizungumza na
Menejimenti ya Ofisi ya Bunge mara baada ya kukabidhi Ofisi kwa Katibu Mpya,
Bi. Nenelwa Mwihambi Jijini Dodoma.
Aliyekuwa Katibu wa Bunge, Bw. Stephen Kagaigai na Katibu Mpya,
Bi. Nenelwa Mwihambi katika picha ya pamoja na na Menejimenti ya Ofisi ya Bunge
mara baada ya makabidhiano ya Ofisi Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment