Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya
CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) baada ya futari iliyoandaliwa na Benki hiyo
kwa Waheshimiwa Wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijjini Dodoma, Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Ndg. Ally Laay
Spika wa Bunge,
Mhe. Job Ndugai (katikati) akifurahi jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi (kushoto) katika futari iliyoandaliwa
na Benki ya CRDB kwa Waheshimiwa Wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijjini
Dodoma, Wapili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB,Ndg. Ally Laay, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Abdulmajid
Nsekela (wapili kushoto) na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustapha Rajabu.
Waheshimiwa Wabunge wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment