Afisa Mawasiliano wa UNICEF- Tanzania Ndg. Usia Ledama akiwasilisha Mada juu ya Hali ya Watoto Tanzania katika Semina kwa Wabunge iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. |
Mjumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Dkt. Pindi Chana akichangia jambo kwenye Semina juu ya umuhimu wa kushughulikia tatizo la upungufu wa Lishe kwa watoto wadogo. |
No comments:
Post a Comment