Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dkt. Edward
Hoseah akitoa mada kuhusu Maadili ya Uongozi kwa wakurugenzi na wakurugenzi
wasaidizi wa Ofisi ya Bunge, Dkt. Hoseah alitoa mada katika mafunzo ya viongozi
hao yanayofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar

Wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi wa Ofisi ya Bunge
wakifuatilia uwasilishwaji wa mada katika mafunzo ya kuwajengea uwezo
yanayofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge, Zanzibar
No comments:
Post a Comment