WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Sunday, August 1, 2021

SPIKA WA BUNGE AMEKUTANA NA WAKURUGENZI NA WAKURUGENZI WASAIDIZI ZANZIBAR

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Bunge, Mhe. Fakharia Shomar Hamisi, Mbunge wa Kwahani Mhe. Ahmed Yahya Abdulwakil na Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi mara baada ya kuwasili katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza katika kikao cha wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi wa Ofisi ya Bunge kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar

Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi akitoa maelezo mafupi kwa Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai kabla Mhe. Spika hajazungumza na wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi wa Ofisi ya Bunge katika kikao kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar

No comments:

Post a Comment