KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA BUNGE CHAHITIMISHWA
Katibu wa Bunge na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge, Bi Nenelwa Mwahambi akifunga kikao cha siku mbili cha Baraza kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kikao cha siku mbili cha Baraza kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar
No comments:
Post a Comment