Katibu wa Bunge, Bi Nenelwa Mwihambi ,ndc akiongoza
kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge kilichofanyika katika Ofisi
Ndogo za Bunge Zanzibar, kushoto ni Katibu wa Baraza Bi Felister Njovu
Mkurugenzi wa Idara ya Bajeti, Michael Kadebe akiwasilisha
Taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Bunge ya Mwaka 2021/2022 iliyopitishwa na Bunge
na Mpango Kazi wake katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika
katika Ofisi Ndogo za Bunge Zanzibar
mb
Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi, Almasi Kitojo akichangia
hoja katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge kilichofanyika
katika Ofisi Ndogo za Bunge Zanzibar
No comments:
Post a Comment