Katibu
wa Bunge, Bi Nenelwa Mwihambi, ndc akifungua
kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge kinachofanyika kwa muda wa
siku mbili katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar
Mkurugenzi wa Idara ya Bajeti katika Ofisi ya Bunge, Ndugu
Michael Kadebe akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Bunge kwa Mwaka
wa Fedha 2020/2021 katika kikao cha Baraza kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya
Bunge, Zanzibar
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge wakiwa
katika Kikao cha Baraza kinachofanyika kwa muda wa siku mbili katika Ofisi
Ndogo ya Bunge Zanzibar.

No comments:
Post a Comment