Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi, ndc akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi ya Bunge yanayotolewa na Taasisi ya Uongozi, Mafunzo hayo yanafanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar, kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Kadari Singo
Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi ya Bunge wakiwa
katika mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayotolewa na Taasisi ya Uongozi, Mafunzo
hayo yanafanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar
Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi ya Bunge wakifuatilia uwasilishwaji wa mada katika mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayotolewa na Taasisi ya Uongozi, Mafunzo
hayo yanafanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar
No comments:
Post a Comment