Mbunge wa Butiama, Mhe. Jumanne Sagini akitoa mada kuhusu
Mahusiano na mawasiliano yenye tija ya viongozi wa kisiasa na kitendaji kwa
wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi wa Ofisi ya Bunge, Mhe.Sagini alitoa mada
katika mafunzo ya viongozi hao yanayofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge
Zanzibar
Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi, ndc akizungumza katika mafunzo ya kuwajengea uwezo wakurugenzi na
wakurugenzi wasaidizi wa Ofisi ya Bunge inayofanyika katika Ofisi Ndogo ya
Bunge, Zanzibar
Wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi wa Ofisi ya Bunge
wakifuatilia uwasilishwaji wa mada katika mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayofanyika
katika Ofisi Ndogo ya Bunge, Zanzibar
No comments:
Post a Comment