Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Masula ya Ukimwi,
Mhe. Dkt. Alice Kaijage akizungumza katika kikao cha Kamati kilichofanyika
Bungeni Jijini Dodoma, Kamati hiyo ilijadili Taarifa ya Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu hali ya maambukizi ya VVU/UKIMWI , Kifua
Kikuu na magonjwa yasiyoambukiza, kulia ni Katibu wa Kamati Asia Msangi
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi wakiwa katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, Kamati hiyo ilijadili Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu hali ya maambukizi ya VVU/UKIMWI , Kifua Kikuu na magonjwa yasiyoambukiza, mafanikio na changamoto pamoja na mikakati ya kudhibiti maambukizi mapya katika tasnia hizo.
Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Masuala ya Ukimwi katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma,
Mhe. Bashungwa aliwasilisha Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo kuhusu hali ya maambukizi ya VVU/UKIMWI , Kifua Kikuu na magonjwa
yasiyoambukiza, mafanikio na changamoto pamoja na mikakati ya kudhibiti
maambukizi mapya katika tasnia hizo.
No comments:
Post a Comment