WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, August 13, 2021

KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAPOKEA MAONI KUTOKA KWA WADAU

CPA Godvictor Ibrahim Lyimo Rais wa Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) akitoa
maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Usajili wa Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu wa mwaka 2021 katika viwanja vya Bunge tarehe 12 Agosti 2021

Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakipokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Usajili wa Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu wa mwaka 2021 katika viwanja vya Bunge tarehe 12 Agosti 2021

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (mwenye njano) na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Japheti Ngailonga Hasunga wakisikiliza kwa makini maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Usajili wa Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu wa mwaka 2021 katika viwanja vya Bunge tarehe 12 Agosti 2021

No comments:

Post a Comment