Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI wakiwa katika kikao cha Kamati Bungeni Jijini Dodoma wakijadii Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu changamoto za ukatili wa kijinsia, usawa wa kijinsia, mila potofu na unyanyasaji wa kijinsia katika mwitikio wa mapambano ya VVU/UKIMWI Nchini Tanzania


Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya UKIMWI, Mheshimiwa Fatma Toufiq akizungumza katika kikao cha Kamati hiyokilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Kikao hicho kilijadili uhusu changamoto za ukatili wa kijinsia, usawa wa kijinsia, mila potofu na unyanyasaji wa kijinsia katika mwitikio wa mapambano ya VVU/UKIMWI Nchini Tanzania
No comments:
Post a Comment