Thursday, October 28, 2021
Wednesday, October 20, 2021
Friday, October 15, 2021
Wednesday, October 13, 2021
Saturday, October 9, 2021
Friday, October 8, 2021
BARAZA LA WAFANYAKAZI LA OFISI YA BUNGE LIMEFANYA KIKAO KATIKA UKUMBI WA MSEKWA BUNGENI JIJINI DODOMA
Katibu wa Bunge ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi akiongoza kikao cha Baraza kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa, Bungeni Jijini Dodoma
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wakifuatilia uwasilishwaji wa mada katika kikao cha Baraza kilichofanyika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge wakifuatilia uwasilishwaji wa mada katika kikao cha Baraza kilichofanyika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma
Tuesday, October 5, 2021
KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAENDELEA NA KIKAO BUNGENI DODOMA
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI wakiwa katika kikao cha Kamati Bungeni Jijini Dodoma wakijadii Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu changamoto za ukatili wa kijinsia, usawa wa kijinsia, mila potofu na unyanyasaji wa kijinsia katika mwitikio wa mapambano ya VVU/UKIMWI Nchini Tanzania
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Mheshimiwa Jenista Mhagama akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Kikao hicho kilijadili uhusu changamoto za ukatili wa kijinsia, usawa wa kijinsia, mila potofu na unyanyasaji wa kijinsia katika mwitikio wa mapambano ya VVU/UKIMWI Nchini TanzaniaMwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya UKIMWI, Mheshimiwa Fatma Toufiq akizungumza katika kikao cha Kamati hiyokilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Kikao hicho kilijadili uhusu changamoto za ukatili wa kijinsia, usawa wa kijinsia, mila potofu na unyanyasaji wa kijinsia katika mwitikio wa mapambano ya VVU/UKIMWI Nchini Tanzania
Subscribe to:
Posts (Atom)