Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Daniel Sillo akifuatilia akiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge, Jijini Dodoma, Kamati hiyo ilikuwa inapitia utekelezaji wa Bajeti ya Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge, Jijini Dodoma, Kamati hiyo ilikuwa inapitia utekelezaji wa Bajeti ya Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) kwenye kikao cha Kamati ya Bunge ya Bajeti kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment