WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, February 10, 2022

KAMATI YA PAC YAIJADILI BAJETI YA OFISI YA RAIS - TAMISEMI

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiwa katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, Kamati hiyo ilijadili Bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

Makamu Mwenyekiti Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Japhet Hasunga akizungumza katika katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma,kulia ni Mwenyekiti wa Kamati, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka Kamati hiyo ilijadili Bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Miko na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

  

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Profesa Riziki Shemdoe akifafanua jambo katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.




 

No comments:

Post a Comment