Naibu Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Zungu (Mb), akiongoza
semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu
Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge yanayoendelea leo katika ofisi
ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 23, 2022, semina hiyo
imewasilishwa na Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe. Jumanne Sigini yenye mada kuhusu dhana
ya mgawanyo wa madaraka na namna ya kudhibiti muingiliano wa madaraka ya
mihimili ya dola
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe. Jumanne Sigini (Mb), akiwasilisha mada kuhusu dhana ya mgawanyo wa madaraka na namna ya kudhibiti muingiliano wa madaraka ya mihimili ya dola mbele ya Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge wakati wa semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayoendelea leo katika ofisi ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 23, 2022
Mwenyekiti wa kamati ya katiba na
Sheria na Mbunge wa Madaba, Mhe. Joseph Mhagama (Mb), akichangia jambo wakati
wa semina ya mafunzo
ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na
Tume ya Utumishi wa Bunge yanayoendelea leo katika ofisi ndogo za Bunge, Tunguu
Zanzibar, Februari 23, 2022, semina hiyo imewasilishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhe. Jumanne Sigini yenye mada kuhusu
dhana ya mgawanyo wa madaraka na namna ya kudhibiti muingiliano wa madaraka ya
mihimili ya dola
Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Haki,
Maadili na Madaraka ya Bunge na Mbunge wa Jimbo la Tabora Kaskazini, Mhe. Almas
Maige akichangia jambo wakati wa semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya
uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge yanayoendelea
leo katika ofisi ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 23, 2022,
semina hiyo imewasilishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
nchi, Mhe. Jumanne Sigini yenye mada kuhusu dhana ya mgawanyo wa madaraka na
namna ya kudhibiti muingiliano wa madaraka ya mihimili ya dola
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Dkt. Eliazer Feleshi akitoa
ufafanuzi wakati wa semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya
uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge yanayoendelea
leo katika ofisi ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 23, 2022, semina hiyo imewasilishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
nchi, Mhe. Jumanne Sigini yenye mada kuhusu dhana ya mgawanyo wa madaraka na
namna ya kudhibiti muingiliano wa madaraka ya mihimili ya dola
No comments:
Post a Comment