WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, February 18, 2022

SPIKA DKT. TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA, MKURUGENZI ASAS DIARIES NA UONGOZI WA BENKI YA WATU WA ZANZIBAR TAWI LA DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 18, 2022


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (watatu kulia) katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika (watatu kushoto) alieambatana na watendaji kutoka hospitali hiyo walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 18, 2022


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Mkurugenzi wa uzalishaji wa kampuni ya maziwa ya ASAS, Ndg. Ahmed Salim Abri alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 18, 2022


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (kushoto) akizungumza na Meneja wa Benki ya Watu wa Zanzibar tawi la Dodoma, Ndg. Mohamed Masoud (wakwanza kushoto) alieambatana na Maafisa kutoka Benki hiyo walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 18, 2022



 

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Meneja wa Benki ya Watu wa Zanzibar Tawi la Dodoma, Ndg. Mohamed Masoud alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 18, 2022

No comments:

Post a Comment