Mwenyekiti Umoja wa
Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Shally Raymond akizungumza
na ugeni
kutoka Ubalozi wa Canada ukiongozwa na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mhe.
Pamela O’Donell (kulia) pamoja na Wajumbe wa TWPG kikao kilichofanyika leo
katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Februari
16, 2022
Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mhe. Pamela O’Donell (wanne kulia) katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, Februari 16, 2022, katikati ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Shally Raymond
Balozi wa Canada nchini, Mhe. Pamela O’Donell (katikati) pamoja na Wajumbe wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) wakionyesha ishara ya furaha, amani na mshikmano nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, Februari 16, 2022, watano kulia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Shally Raymond
No comments:
Post a Comment