Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson akizungumza na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman katika ofisi za Makamu wa Rais Migombani Zanzibar, Februari 21, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman katika ofisi za Makamu wa Rais Migombani Zanzibar, Februari 21, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson akiteta jambo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othaman katika ofisi za Makamu wa Rais Migombani Zanzibar, Februari 21, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson akiagana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othaman katika ofisi za Makamu wa Rais Migombani Zanzibar, Februari 21, 2022
No comments:
Post a Comment