WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Monday, February 21, 2022

SPIKA DKT. TULIA AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU 5 KWA KAMATI YA UONGOZI, MAKAMU WENYEVITI WA KAMATI NA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akifungua semina ya mafunzo ya siku 5 ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge (hawapo kwenye picha) katika ofisi Ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 21, 2022 


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akifungua semina ya mafunzo ya siku 5 ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge katika ofisi Ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 21, 2022 



Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi akizungumza kabla ya Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), kufungua semina ya mafunzo ya siku 5 ya ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar, Februari 21, 2022, kuanzia kushoto ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zuberi Ali Maulid, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Zungu




Baadhi ya Wajumbe wa kamati ya uongozi wakishiriki mafunzo ya siku 5 ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge katika ofisi Ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 21, 2022, Mafunzo hayo yamefunguliwa leo na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson(Mb)



Spika wa Bunge, Mhe.Dkt. Tulia Ackson Mb, (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na kamati ya uongozi baada ya kufungua mafunzo ya siku 5 ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa kamati ya uongozi, Makamu Wenyeviti wa kamati na Tume ya Utumishi wa Bunge katika ofisi Ndogo za Bunge, Tunguu Zanzibar, Februari 21, 2022, kuanzia kushoto waliokaa ni Spika Mstaafu, Mhe. Anne Makinda, Spika Mstaafu, Mhe. Pius Msekwa, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zuberi Ali Maulid, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Zungu, Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Pandu kificho na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Dkt. Eliazer Feleshi



 

No comments:

Post a Comment