Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Shally Raymond kwa ajili ya kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Spika katika hafla fupi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 7, 2022, kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa TWPG, Mhe. Sophia Mwakagenda
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Wajumbe wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) waliompongeza kwa kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tukio lililofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 7, 2022
Wajumbe wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) wakishiriki hafla fupi ya kumpongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) kwa kuchaguliwa kuwa Spika tukio lililofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 7, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akipongezwa na Wajumbe wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) kwa kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 7, 2022
No comments:
Post a Comment