Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma wakijadili taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu uwekezaji katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) .
Mjumbe wa Kamati ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma Mhe. Augustine Holle Vuma akichangia baada ya Msajili wa Hazina kuwasilisha taarifa kuhusu uwekezaji katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Mjumbe wa Kamati ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma Mhe. Esther Bulaya akichangia baada ya Msajili wa Hazina kuwasilisha taarifa kuhusu uwekezaji katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Mjumbe wa Kamati ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma Mhe. Bahati Ng’ingo akichangia baada ya Msajili wa Hazina kuwasilisha taarifa kuhusu uwekezaji katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Mjumbe wa Kamati ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma Mhe. Haji Amour Haji akichangia baada ya Msajili wa Hazina kuwasilisha taarifa kuhusu uwekezaji katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).
No comments:
Post a Comment