WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, February 19, 2022

SPIKA DKT. TULIA ASHIRIKI ZOEZI LA KUAGA MWILI WA DKT. MWELECELE KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti wa Magonjwa ya Kitropiki yasiyopewa kipaumbele wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Mwelecele Ntuli Malecela katika viwanja vya karimjee Jijini Dar es Salaam, Februari 19, 2022


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiteta jambo na Spika Mstaafu, Mhe. Anne Makinda wakati wa zoezi la kuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti wa Magonjwa ya Kitropiki yasiyopewa kipaumbele wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Mwelecele Ntuli Malecela katika viwanja vya karimjee Jijini Dar es Salaam, Februari 19, 2022

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), wakati alipowasili kuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti wa Magonjwa ya Kitropiki yasiyopewa kipaumbele wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Mwelecele Ntuli Malecela katika viwanja vya karimjee Jijini Dar es Salaam, Februari 19, 2022

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (wapili kulia), Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (kulia), Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (wapili kushoto) pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Amos Makalla wakishiriki zoezi la kuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti wa Magonjwa ya Kitropiki yasiyopewa kipaumbele wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Mwelecele Ntuli Malecela katika viwanja vya karimjee Jijini Dar es Salaam, Februari 19, 2022


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akitoa salamu za rambirambi wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti wa Magonjwa ya Kitropiki yasiyopewa kipaumbele wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Mwelecele Ntuli Malecela katika viwanja vya karimjee Jijini Dar es Salaam, Februari 19, 2022


 

No comments:

Post a Comment