Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya katiba na Sheria
wakimpongeza Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) baada ya kuchaguliwa kuwa Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika ukumbi
wa Spika uliopo Bungeni Jijini Dodoma leo Februari 8, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akilishwa keki na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya katiba na Sheria, Mhe. Joseph Mhagama pale kamati hiyo ilipofanya hafla fupi ya kumpongeza baada ya kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Spika uliopo Bungeni Jijini Dodoma leo Februari 8, 2022
Baadhi ya Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya katiba na Sheria wakiwa katika hafla fupi ya kumpongeza Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) baada ya kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hafla hiyo fupi imefanyika katika ukumbi wa Spika uliopo Bungeni Jijini Dodoma leo Februari 8, 2022, kuanzia kushoto ni Mwenyekiti wa kamati hiyo na Mbunge wa Madaba Mhe. Joseph Mhagama, Mbunge wa Tabora Mjini Mhe. Emmanuel Mwakilasa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mjini Mhe. Asha Abdalla Juma
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya katiba na Sheria (hawapo kwenye picha) waliofanya hafla fupi ya kumpongeza baada ya kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Spika uliopo Bungeni Jijini Dodoma leo Februari 8, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya katiba na Sheria waliofanya hafla fupi ya kumpongeza baada ya kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Spika uliopo Bungeni Jijini Dodoma leo Februari 8, 2022
No comments:
Post a Comment