Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwapokea wageni kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna (wa kwanza kushoto) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 9, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna (wa kwanza kushoto) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 9, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 9, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb (wanne kushoto), katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna (wanne kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 9, 2022
No comments:
Post a Comment