WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, March 4, 2022

SPIKA DKT. TULIA AMBAYE PIA NI MBUNGE WA MBEYA MJINI AKAGUA UJENZI WA HOSTELI ZA CHUO CHA CBE JIJINI MBEYA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini na Mlezi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Jeshi la magereza Mkoa wa Mbeya wakati alipowasili kukagua ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa Chuo hicho leo Machi 4, 2022 zilizopo Jijini Mbeya, kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Emmanuel Mjema, Jeshi hilo ndio wahusika wa ujenzi wa hosteli hiyo


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini na Mlezi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisaini kitabu cha viongozi wa Chama na Serikali kabla ya kukagua ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa Chuo hicho leo Machi 4, 2022 zilizopo Jijini Mbeya.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini na Mlezi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akikagua ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa Chuo hicho leo Machi 4, 2022 zilizopo Jijini Mbeya. Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Emmanuel Mjema


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini na Mlezi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akipatiwa maelezo na Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Emmanuel Mjema wakati akikagua ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa Chuo hicho leo Machi 4, 2022 zilizopo Jijini Mbeya. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbeya Mjini, Mhe. Afred Msomba

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini na Mlezi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na viongozi mbalimbali wa Chuo hicho, viongozi wa Jeshi la magereza Mkoa wa Mbeya pamoja na wananchi mbalimbali baada ya kukagua ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa Chuo hicho leo Machi 4, 2022 zilizopo Jijini Mbeya. Jeshi hilo la magereza ndio wanahusika na ujenzi wa hosteli hiyo



 

No comments:

Post a Comment