Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Mhe. Dkt. Rashid Chuachua wakati alipowasili kukabidhi vifaa, mashine na bidhaa mbalimbali vya mikopo inayotolewa na halmashauri ya Jiji hilo kwa vikundi 40 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu leo Machi 3, 2022 katika viwanja vya Kabwe Jijini Mbeya ambapo jumla ya Shilingi milioni 600 imetumika, katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera, wengine ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, Ndg. Triphonia Kisiga (kulia), Meya wa Jiji la Mbeya, Mhe. Dormohamed Issan Rahmat (wapili kulia) na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbeya, Ndg. Alfred Msomba (watatu kulia)
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera (kushoto) kwa ajili ya kukabidhi vifaa, mashine na bidhaa mbalimbali vya mikopo inayotolewa na halmashauri ya Jiji hilo kwa vikundi 40 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu tukio lililofanyika leo Machi 3, 2022 katika viwanja vya Kabwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 600 imetumika, Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, Ndg. Triphonia Kisiga, Meya wa Jiji la Mbeya, Mhe. Dormohamed Issan Rahmat (wapili kulia) na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbeya, Ndg. Alfred Msomba (wapili kushoto)
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akimsikiliza Mjasiliamali kutoka Amani One Group, Ndg. Johanitha Buberwa wakati alipotembelea banda lao leo Machii 3, 2022 kabla ya kukabidhi vifaa, mashine na bidhaa mbalimbali vya mikopo inayotolewa na halmashauri ya Jiji hilo kwa vikundi 40 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu tukio lililofanyika katika viwanja vya Kabwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 600 imetumika, kuanzia kulia ni ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, Ndg. Triphonia Kisiga, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbeya, Ndg. Alfred Msomba na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akikata utepe kabla ya kukabidhi Magari mawili ya kubebea wagonjwa pamoja na vifaa, mashine na bidhaa mbalimbali vya mikopo inayotolewa na halmashauri ya Jiji hilo kwa vikundi 40 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu tukio lililofanyika leo Machi 3, 2022 katika viwanja vya Kabwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 600 imetumika.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwasha gari kabla ya kulikabidhi pamoja na vifaa, mashine na bidhaa mbalimbali vya mikopo inayotolewa na halmashauri ya Jiji hilo kwa vikundi 40 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu tukio lililofanyika leo Machi 3, 2022 katika viwanja vya Kabwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 600 imetumika.
Wajasiliamali Mbalimbali wakimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (hayupo kwenye picha), akizungumza kabla ya kukabidhi vifaa, mashine na bidhaa mbalimbali vya mikopo inayotolewa na halmashauri ya Jiji hilo kwa vikundi 40 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu tukio lililofanyika leo Machi 3, 2022 katika viwanja vya Kabwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 600 imetumika.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na wajasiliamali mbalimbali (hawapo kwenye picha) kabla ya kukabidhi vifaa, mashine na bidhaa mbalimbali vya mikopo inayotolewa na halmashauri ya Jiji hilo kwa vikundi 40 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu tukio lililofanyika leo Machi 3, 2022 katika viwanja vya Kabwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 600 imetumika, Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 60 kwa wajasiliamali ikiwa ni jumla ya pesa yote ya vifaa, mashine na bidhaa mbalimbali vya mikopo inayotolewa na halmashauri ya Jiji hilo kwa vikundi 40 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu tukio lililofanyika leo Machi 3, 2022 katika viwanja vya Kabwe Jijini Mbeya.
No comments:
Post a Comment