Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki zoezi la kupanda miti ya maparachichi katika kata ya Nsalaga Jijini Mbeya leo Machi 7, 2022, ambapo amewahimiza wananchi wa kata hiyo kuwa na tabia ya kupanda miti hiyo itakayoweza kuwaingizia kipato pamoja na kutunza mazingira.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki zoezi la
kupanda miti ya maparachichi katika kata ya Nsalaga Jijini Mbeya leo Machi 7, 2022, Kulia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Mafuta ya Oryx Tanzania, Ndg. Kalpesh Mehta na Mkurugenzi
Mkuu wa kampuni ya Gesi ya Oryx Tanzania, Ndg. Benoit
Araman
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na wananchi wa kata ya Nsalaga baada ya kushiriki zoezi la kupanda miti ya maparachichi katika kata hiyo Jijini Mbeya leo Machi 7, 2022, ambapo amewahimiza wananchi wa kata hiyo kuwa na tabia ya kupanda miti ya maparachichi itakayoweza kuwaingizia kipato pamoja na kutunza mazingira.
Wananchi wa kata ya Nsalaga wakimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza baada ya kushiriki zoezi la kupanda miti ya maparachichi katika kata hiyo leo Jijini Mbeya Machi 7, 2022
No comments:
Post a Comment