WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Sunday, March 6, 2022

SPIKA DKT. TULIA ASHIRIKI MISA YA KWANZA KANISA KATOLIKI - HIJA PAROKIA YA MWANJELWA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki misa ya kwanza ya jumapili ya kwaresma katika Kanisa katoliki – Hija, Parokia ya Mwanjelwa Jijini Mbeya leo Machi 6, 2022


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza mbele ya waumini (hawapo kwenye picha) wakati akishiriki misa ya kwanza ya jumapili ya kwaresma katika Kanisa katoliki – Hija, Parokia ya Mwanjelwa Jijini Mbeya leo Machi 6, 2022

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza mbele ya waumini wakati akishiriki misa ya kwanza ya jumapili ya kwaresma katika Kanisa katoliki – Hija, Parokia ya Mwanjelwa Jijini Mbeya leo Machi 6, 2022


 Waumini Mbalimbali wa kanisa katoliki – Hija, Parokia ya Mwanjelwa Jijini Mbeya wakimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati aliposhiriki misa ya kwanza ya jumapili ya kwaresma leo Machi 6, 2022 Jijini humo.


No comments:

Post a Comment