WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, March 17, 2022

WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) WAMETEMBELEA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI INAYOTEKELEZWA NA CHUO HICHO

Mkuu wa Idara ya Mitambo katika Chuo Ufundi Arusha, Dkt. Daniel Ngoma akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) katika Karakana ya Chuo hicho, Kamati hiyo ilitembelea Chuo hicho na kukagua miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ujenzi wa maabara, bweni na madarasa

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) akizungumza katika Karakana ya Chuo cha Ufundi Arusha wakati Kamati hiyo ilipotembelea Chuo hicho na kukagua miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ujenzi wa maabara, bweni na Madras
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha Profesa Siza Tumbo akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati Kamati hiyo ilipotembelea Chuo hicho ni kukagua miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ujenzi wa maabara, bweni na Madarasa
Meneja wa Kitengo cha Uzalishaji na Usimamizi wa Miradi wa Chuo cha Ufundi Arusha, Mhandisi Faraji Magania akiwaelezea Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC) maendeleo ya ujenzi wa bweni katika Chuo hicho wakati Kamati hiyo ilipotembelea Chuo hicho na kukagua miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ujenzi wa maabara, bweni na madarasa

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Chuo cha Ufundi Arusha wakati Kamati hiyo ilipotembelea Chuo hicho na kukagua miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ujenzi wa maabara, bweni na madarasa 

No comments:

Post a Comment