Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) Mkoa wa Kilimanjaro, Nicholas Francis akitoa maelezo kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuhusiana na Barabara ya St.Dorcus iliyopo Wilayani Hai wakati Kamati hiyo ilipofanya ziara kukagua barabara hiyo

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akizungumza katika Kikao cha Kamati hiyo na watendaji wa Wakala wa Barabara Vijijni (TARURA) Mkoani Kilimanjaro kabla ya Kamati hiyo haijakagua barabara tatu zinazojengwa na TARURA katika Manispaa ya Moshi na Wilaya ya Hai, kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati Mheshimiwa Japhet Hasunga na kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mheshimiwa Abbas Kayanda
No comments:
Post a Comment