WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, April 27, 2022

SPIKA DKT. TULIA ASHIRIKI ZOEZI LA KUUAGA MWILI WA MHE. IRENE NDYAMKAMA

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki zoezi la kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mhe. Irene Alex Ndyamkama leo Aprili 27, 2022 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.


Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akishiriki zoezi la kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mhe. Irene Alex Ndyamkama leo Aprili 27, 2022 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.


Katibu wa Bunge, Mhe. Nenelwa Mwihambi, ndc akishiriki zoezi la kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mhe. Irene Alex Ndyamkama leo Aprili 27, 2022 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Waheshimiwa Wabunge wakishiriki zoezi la kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Mhe. Irene Alex Ndyamkama  leo Aprili 27, 2022 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment