WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, May 10, 2022

SPIKA DKT. TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU MNADHIMU WA KWANZA WA SERIKALI BUNGENI KUTOKA BUNGE LA GHANA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Naibu Mnadhimu wa Kwanza wa Serikali Bungeni kutoka Bunge la Ghana, Mhe. Habib Iddrissu (katikati) na Naibu Mnadhimu Mkuu wa kambi ya walio wachache kutoka Bunge la Ghana, Mhe. Ahmed Ibrahim pale ugeni kutoka Bunge hilo ulipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Mei 10, 2022


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Ghana ukiongozwa na Naibu Mnadhimu wa Kwanza wa Serikali Bungeni, Mhe. Habib Iddrissu (kulia kwake) ulipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Mei 10, 2022


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), katika picha ya pamoja na Naibu Mnadhimu wa Kwanza wa Serikali Bungeni kutoka Bunge la Ghana, Mhe. Habib Iddrissu (kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Mei 10, 2022 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati), katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Bunge la Ghana ukiongozwa na Naibu Mnadhimu wa Kwanza wa Serikali Bungeni, Mhe. Habib Iddrissu (kulia kwake) ulipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Mei 10, 2022

No comments:

Post a Comment