WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, May 12, 2022

SPIKA DKT. TULIA AONGOZA KIKAO CHA MAJADILIANO NA VIONGOZI WA VYAMA VYA HIARI VYA WABUNGE JIJI DODOMASpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tulia Ackson (Mb), akiongoza kikao cha majadiliano na viongozi wa vyama vya hiari vya Wabunge leo Mei 11, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu na Kulia ni Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc

Viongozi wa vyama vya hiari vya Wabunge wakiwa katika kikao cha majadiliano yaliyoongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tulia Ackson (Mb), leo Mei 11, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Wabunge walio katika Mapambano dhidi ya Rushwa (APNAC) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Mhe. Kapteni. George Mkuchika akichangia jambo wakati wa kikao cha majadiliano ya viongozi wa vyama vya hiari vya Wabunge yaliyoongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tulia Ackson (Mb), leo Mei 11, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. 

No comments:

Post a Comment