Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisaini kitabu cha
wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini
Malawi.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa
Tanzania nchini Malawi, Mhe. Humphrey Polepole (kushoto) alipomtembelea
Ubalozini hapo Jijini Lilongwe. Wengine ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania walioambatana na Mhe. Spika
Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe. Humphrey Polepole
akiwasilisha taarifa ya Mahusiano baina ya Tanzania na Malawi mbele ya Spika wa
Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) katika ofisi za Ubalozi huo Jijini
Lilongwe nchini Malawi. Wengine ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania walioambatana na Mhe. Spika
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akipokea taarifa ya
Mahusiano baina ya Tanzania na Malawi kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini
Malawi, Mhe. Humphrey Polepole alipomtembelea Ubalozini hapo Jijini Lilongwe.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya
pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe. Humphrey Polepole
alipotembelea Ubalozini hapo Jijini Lilongwe.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya
pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe. Humphrey Polepole (kulia
kwake) alipotembelea Ubalozini hapo Jijini Lilongwe. Kuanzia kushoto ni Wabunge
wa Bunge la Tanzania walioambatana na Mhe. Spika ambao ni Mhe. Selemani Zedi,
Mhe. Hawa Mwaifunga, Mhe. Kassim Haji, Mhe. Shally Raymond na Mhe. Dkt. Alfred
Kimea.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongozana na Balozi wa
Tanzania nchini Malawi, Mhe. Humphrey Polepole mara baada ya mazungumzo
yaliyofanyika Ubalozini hapo Jijini Lilongwe.
No comments:
Post a Comment